Text from Stelavento - Kiswahili
Jaribu la kwanza. :)
- Mimi ni mwanafunzi.
- Nina marafiki nzuri.
- Rafiki zangu ni wanafuzi kama na mimi.
- Tunasoma katika chuo.
- Ninapenda kusoma.
- Sasa ninasoma kiswahili.
- Mtoto anakunywa maziwa.
- Msichana anakula mkate.
- Watoto wanasoma vitabu.
- Mimi na rafiki yangu tunacheza chesi (sataranji?).
- Dada yangu anapenda kupika.
- Anapika vizuri sana.
- Jana dada amepika mchuzi mtamu.
- Mimi sipendi kupika, lakini ninapenda kula.
- Rafiki yangu ana paka.
- Jina lake ni Simba.
- Paka huu si simba, yeye ni paka ndogo tu, lakini Simba ni jina lake.
- Simba inapenda kucheza na kulala.
- Ikiwa yeye hacheza ima hakula, analala.
- StelaventoAugust 2015Äänestä nyt!
PLEASE, HELP TO CORRECT EACH SENTENCE! - Kiswahili