Corrections

Text from Stelavento - Kiswahili

    • Jaribu la kwanza. :)

  • Mimi ni mwanafunzi.
    • Nina marafiki nzuri.
    • Rafiki zangu ni wanafuzi kama na mimi.
  • Tunasoma katika chuo.
  • Ninapenda kusoma.
  • Sasa ninasoma kiswahili.
  • Mtoto anakunywa maziwa.
  • Msichana anakula mkate.
  • Watoto wanasoma vitabu.
  • Mimi na rafiki yangu tunacheza chesi (sataranji?).
  • Dada yangu anapenda kupika.
  • Anapika vizuri sana.
  • Jana dada amepika mchuzi mtamu.
  • Mimi sipendi kupika, lakini ninapenda kula.
  • Rafiki yangu ana paka.
  • Jina lake ni Simba.
    • Paka huu si simba, yeye ni paka ndogo tu, lakini Simba ni jina lake.
  • Simba inapenda kucheza na kulala.
    • Ikiwa yeye hacheza ima hakula, analala.

PLEASE, HELP TO CORRECT EACH SENTENCE! - Kiswahili