Text from andirose1216 - Kiswahili
Kuhusi Mimi
- Hujambo!
- Mimi ninaitwa Rose.
- Ninapenda kujifunza lugha.
- Ninajifunza Kiswahili, Kizulu, Kiingereza, Kihispania, Kisabia na Kijeremani.
- Ninafanya kazi maktabani na ninasoma katika UW-Madison.
- Ninasoma isimu ya lugha na masomo ya Afrika.
- Rafiki yangu anaitwa Eva.
- Eva anatoka Madison, Wisconsin lakini sasa anakaa Zanzibar.
- Eva anasoma Kiingereza na Kiswahili.
- Eva ana mume katika Mombasa.
- Nina mtoto mmoja anaitwa Sophia.
- Sophia anasoma Kijeremani na Kiingereza.
- Mpenzi yangu anatoka Ujerumani na yeye anasoma Kijeremani, Kirusi na Kiingereza.
- Shule yangu anaanza wiki ijayo.
- Ninafurahi kwa sababu ninapenda kwenda za shule.
- Kwa heri na kuonana!
- andirose1216August 2013100% GOOD (1 votes)
PLEASE, HELP TO CORRECT EACH SENTENCE! - Kiswahili