Language/Swahili-individual-language/Vocabulary/Body

From Polyglot Club WIKI
< Language‎ | Swahili-individual-language‎ | Vocabulary
Revision as of 23:03, 30 December 2021 by Vincent (talk | contribs) (Created page with " = mwili <small>- body - corps</small> = {| class="wikitable" |swahili |English |- |jasho |sweat, perspiration |- |ngozi |skin |- |laika / malaika |hair |- |unywele / nywele...")
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)
Jump to navigation Jump to search
Rate this lesson:
5.00
(one vote)

mwili - body - corps

swahili English
jasho sweat, perspiration
ngozi skin
laika / malaika hair
unywele / nywele hair
kichwa (/ vichwa) head
kisogo (/ visogo) back of the head
paji la uso (/ mapaji) forehead
kunjo / makunjo wrinkle(s)
(u)bongo brain
akili intelligence
roho, nafsi soul
ndoto, njozi dream
uso (/ nyuso), sura face
sikio / masikio ear(s)
usi wa jicho

/ nyusi za macho

eyebrow(s)
kigubiko cha jicho

/ vigubiko vya macho

eyelid(s)
jicho / macho eye(s)
mboni ya jicho

/ mboni za macho

eyeball(s)
chozi / machozi tear(s)
pua (/ mapua) nose
tundu la pua

/ matundu ya mapua

nostril(s)
sharubu / masharubu mustache(s)
udevu / ndevu hair / beard
shavu / mashavu cheek(s)
mdomo / midomo lip(s)
mdomo, kinywa

(/ midomo, vinywa)

mouth
ulimi (/ ndimi) tongue
jino / meno tooth / teeth
ufizi / fizi gingiva, gum(s)
taya jaw, jawbone
kidevu (/ videvu) chin
shingo (/ mashingo) neck
koo throat
kidakatonge (/ vidakatonge) Adam's apple
kifua (/ vifua) chest
titi / matiti,

ziwa / maziwa

breast(s)
(u)tumbo belly, stomach
kitovu (/ vitovu) navel
ini (/ maini) liver
nyongo bile, gall
kongosho
wengu (/ mawengu) spleen
figo / mafigo kidney(s)
kibofu (/ vibofu) bladder
mkojo (/ mikojo) urine
pafu / mapafu lung(s)
moyo (/ mioyo) heart
damu blood
mshipa / mishipa vein(s)
mshipa wa fahamu nerve
msuli / misuli muscle(s)
mfupa / mifupa bone(s)
ubavu / mbavu rib(s)
kiunzi (/ viunzi),

gongono

skeleton
mgongo (/ migongo) back, backbone
bega / mabega shoulder(s)
mkono / mikono arm(s)

hand(s)

kwapa / makwapa armpit(s)
kiko / viko elbow(s)
kifundo cha mkono wrist
ngumi fist
kidole / vidole vya mkono finger(s)
kidole gumba thumb
ukucha / kucha fingernail(s)
kiuno (/ viuno) waist
tako / matako buttock(s)
mguu / miguu leg(s)

foot / feet

paja / mapaja thigh(s)
goti / magoti knee(s)
fundo la mguu

/ mafundo ya miguu

ankle(s)
kisigino / visigino heel(s)
unyayo (/ nyayo) sole of the foot
kidole cha mguu

/ vidole vya mguu

toe(s)

afya - health - santé

swahili English
gari la wagonjwa ambulance
hospitali hospital
kliniki clinic
zahanati

mwuguzi / wauguzi

infirmary, dispensary

nurse(s)

mganga / waganga traditional healer(s)
daktari / madaktari medical doctor(s)
daktari wa meno dentist
daktari wa upasuaji surgeon
duka la madawa drugstore, pharmacy
dawa / madawa medication
mpira condom
UKIMWI AIDS
ugonjwa wa kisukari diabetic
ugonjwa / magonjwa,

maradhi

disease(s)

Contributors

Maintenance script


Create a new Lesson