NANI ATAKAYE KUSOMA KISWAHILI.

53% GOOD (15 votes)
Je msanii ni kioo cha jamii au jamii ni kioo cha msanii.

Comments

tino22 profile picture tino22March 2013
Karibu ujifunze kiswahili
Leatjuhh profile picture LeatjuhhMarch 2012
Mimi ataka kusoma kiswahili, Mi na hongea swahili Lakin ma apaneheza ku andiga swahili, nji taka ku sadia mimi? Asante
  • tino22 profile picture tino22March 2013
    Mimi ni Mtanzania ukipenda, nitakusaidia kujifunza (kuandika, Kuzungumza na kusoma) Kiswahili : tino22tino22 profile picture
williamnzioka profile picture williamnziokaJanuary 2009
Mswahili wa Kenya anataka kusoma Kiswahili. Ninaweza kuongea vizuri sana lakini nataka kufunzwa kuandika "formally". Sikuendelea kusoma Swahili chuoni kwa sababu nilihama Marekani(na hapa hapa hakuna wengi wanaiongea) Kama unaweza kunifunza kuandika nitakushukuru.

Asante Sana
lolani profile picture lolaniDecember 2008
Msanii ni kioo cha jamii kwa kuwa jamii inaweza kujifunza maadili kupitia mawaidha yake na kuweza kuona mambo yanayofanywa na washiriki wa jamii kupitia taswira inayochorwa na msanii huyo.


ai kioo na mato tia nuru takatifu
hujaalia jisito baadaye ukashufu
ni mshabaha wa kito yaakuti masherafu
ai puwa na harufu vitakapokukutana

kwa hivyo macho yakiangazia jambo kama kwenye kioo huweza kuyaona na baadaye kujua kwamba kumbe hivi ndivyo tulivyo